Home » » MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA

Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mh Dkt Vicent Anney siku ya tarehe 2/8/2024 akipokea Mwenge wa uhuru katika viwanja vya shule ya msingi Nyamuswa B, kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Mh. Moses Kaigele.

Mh Dkt Anney amesema Mwenge wa uhuru utakimbizwa km 109 na utatembelea, kukagua na kuzindua miradi nane ya maendeleo iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, yenye thamani ya Tshs bilioni 2,312,165,470.

 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa