Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili
kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara leo Oktoba
11, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma
Mjini, Vicent Nyerere, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini,
Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Musoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la
Musoma Mjini,
Mkoani Mara leo Oktoba 11, 2015.



































0 comments:
Post a Comment