Mkuu
wa Wilaya ya Butiama, Annarose Nyamubi akiwa na Mkuu wa Wilaya ya
Rorya, Felix Lyniva wakifuatilia mada katika mafunzoa ambapo Halmashauri
za Wilaya zao za Butiama na Rorya mkoani Mara ndio zimechaguliwa kuwa
za kwanza kuanza utekelezaji wa mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya sekta
za umma(PS3) katika sekta za afya, elimu na kilimo.
***************
HALAMSAHAURI Za Wilaya ya Rorya na Butiama
mkoani Mara zimechaguliwa kuwa za kuanza utekelezaji wa mradi Uimarishaji
Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maemdeleo la
Kimataifa la Marekani (USAID).
Tayari watendaji kutoka halamshauri
husika wanapatiwa mafunzo ya siku moja leo na wiki ijayo madiwani wao nao
watapatiwa mafunzo maalum ya namna ya kushiriki utekelezaji wa mradi huo. Mafunzo
hayo ya wiki moja yatafanyika mjini Bunda. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
0 comments:
Post a Comment