Home » » NEC YAZINDUA PROGRAMU YA UTOAJI WA ELIMU YA MPIGA KURA KWA KUWAPATIA ELIMU WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA SONGE MUSOMA.

NEC YAZINDUA PROGRAMU YA UTOAJI WA ELIMU YA MPIGA KURA KWA KUWAPATIA ELIMU WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA SONGE MUSOMA.



Mkurugenzi Idara ya Huduma za Kisheria wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Emmanuel Kawishe akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Songe nje kidogo ya mji wa Musoma juu ya majukumu na utendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa programu endelevu ya utoaji wa elimu ya mpiga kura kwa kuyafikia makundi mbalimbali nchini.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa