HALI
ya usalama Tarime imezidi kutoweka baada ya Jambazi
lisilofahamikalikiwa na bunduki ambayo haijafahamika aina yake
kuendelea kuuwa watu kwa risasi katika mazingira tofautitofauti ambao
ni jinsia ya kiume na idadi ya waliouwawa kufikia saba hadi sasa na
inadaiwa uuwa watu na kupotea bila kutambuliwa.
Jambazi hilol isilofahamika watu nausiku wa saa mbili januari 27 /2014 maeneo ya Nkende limemuuwa mwendesha bodaboda Juma Marwa Mkazi wa Nkende mjini Tarime akiwa anaelekea Nyumbani kwake amabye alikufa akiwa hospitali akipatiwa matibabu.
Mganga wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji Tarime Marco Nega amesema kuwa tangu January 27 hadi sasa hospitali imeendelea kupokea watu waliouwawa na majeruhi ambao wamefanyiwa uchunguzi na kugundulika wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi katika sehemu mbalimbali za mwili nakwamba watu wapatao 7 wamekufa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya Justus Kamugisha amesema wamemkamata mtu mmoja anaeshukiwa amabaye yuko chini ya ulinzi kwa mahojiano nakwamba anazidi kuongeza vikosi vya doria kuimarisha ulinzi na usalama Tarime

0 comments:
Post a Comment