Home » » LUGALA; WANANCHIWAAMUE KATIBA MPYA

LUGALA; WANANCHIWAAMUE KATIBA MPYA


Kangi Lugola, Mbunge wa Mwibara (CCM)
 
Watanzania wametakiwa kuwa watulivu wakati wa kuijadili katiba mpya na kujua umuhimu wake kwa maslahi ya taifa.
Hayo yalisemwa na Kangi Lugola, Mbunge wa Mwibara (CCM) wakati akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara kwa lengo la kuwaelimisha katiba mpya na umuhimu wake.

Lugola alisema ni muhimu watanzania wakajua ni kwanini walifikia hatua ya kudai katiba mpya ambayo itatoa hatma ya mfumo wa Muungano.
 Lugola aliwaambia wananchi kuwa ni muhimu wakajadili mfumo wa Muungano wanoutaka na kwamba baada ya hapo ukatengenezwa mfumo wanaoutaka wananchi. 
CHANZO: NIPASHE

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa