Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu,
akitoa maelezo kwa watendaji wakuu wa mkoa wa Mara juu ya ziara yake mkoani
humo, lengo la ziara hiyo ni kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za
uwekezaji na na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari
(PSPF Supplementary Scheme) ambapo
kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na baadaye.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment