Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kijiji cha Nyangoto, wilayani Tarime, amefariki dunia baada ya kubakwa.
Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Justus Kamugisha, alisema jana
kuwa mtuhumiwa wa tukio hilo ni Nyamatese Mkoma Nyangaburi ambaye
hakufahamika umri wala makazi yake.
Alisema mwili wa mtoto huyo uligunduliwa juzi, saa 6 mchana na
wasamaria wema ambao walitoa taarifa kwa viongozi wa serikali eneo
hilo na Jeshi la Polisi.
Chanzo:Tanzania Daima
0 comments:
Post a Comment