
Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mara wakiwa na majonzi wakati wakipokea
mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa ulipofikishwa katika hospitali ya
mkoa jana. baada ya kuanguka ghafla kutoka kwenye kiti alichoketi wakati
akishiriki Kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tarime nakufariki .
Picha na Florence Focus
0 comments:
Post a Comment