Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katika
mila, desturi na utamaduni wa makabila mengi muundo wa familia hasa
ndoa hutofautiana, wakati nyingi zikiwa zikisihirikisha mwanaume na
mwanamke, katika mkoa wa Mara, wilaya ya Tarime, kaskazini mwa Tanzania,
utamaduni wa enzi unahusisha wanawake kuwaoa wanawake wenzao. Mwandishi
wa BBC ,Tulanana Bohea anatuarifu zaidi namna muundo wa familia mbadala
wa Nyumba ntobhu umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi.
BBC
BBC
0 comments:
Post a Comment