Home » » TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE YA NYABANGE NA KITUO CHA KULELEA WATOTO CHA JIPE MOYO MKOANI MARA

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE YA NYABANGE NA KITUO CHA KULELEA WATOTO CHA JIPE MOYO MKOANI MARA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 
Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee katika Makazi ya wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakati wa Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania.
Sehemu ya wazee katika Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakimsikiliza katibu Msaidzi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa.
Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akimkabidhi zawadi ya Sabuni Mkuu wa Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange iliyopo Butiama mkoani Mara Bw. Edward Mbaga wakati Tume ikifanya Utafiti mkoani humo. Kushoto ni Mhadhiri Msaidizi Chuo cha Ustawi wa Jamii Bw. Paulo Mwangosi


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mara Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa