| Basi la kampuni ya AM likiwa limepata hitilafu katikati ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. |
| Gari la mafuta likivuka moja ya daraja ndani ya hifadhi hiyo. |
| Eneo la mto ambalo linatajwa kuwa ni
manywesheo ya wanyama katika hifadhi ya taifa ya Ngorongoro ambapo
basi la kampuni ya AM lilipata hitilafu. |
| Kondakta wa basi la AM aliyefahamika kwa jina la Majogoro akichota maji kwenye mto kwa ajili ya kuweka kwenye rejeta baada ya injini kuchemsha. |
| Basi lilikunywa maji ,madumu ya kutosha |
| Wanyama mbalimbali ndani ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. |
0 comments:
Post a Comment